Kikulon-Pazeh

Kikulon-Pazeh ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wakulon-Pazeh. Hakuna Wakulon-Pazeh siku hizi ambazo wangeweza kuongea lugha ya Kikulon-Pazeh, yaani lugha yao imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulon-Pazeh iko katika kundi la Kiformosa-Kaskazini-Mashariki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search